July 24, 2018
World-Bank

Digital marketing, the World Bank’s way

On December 4th and 5th 2017 I was at the World Bank Group’s head office in Washington DC for a Youth Summit. Specifically the meeting was about the future of businesses, development work, jobs and various similar futuristic conversations. I was specifically keen to follow up on the World Bank’s head on his talk about the future of the bank’s […]
July 24, 2018
Baba bora

Mambo 8 ya kuzingatia ili kuwa baba bora

Mapema mwezi uliopita kuelekea maadhimisho ya siku ya baba dunuani iliyofanyika Juni, mtandao wa MenCare uliwahoji washirika wake 100 wakiwemo akina mama, akina baba, wanaharakati na watafiti katika malezi kutoka nchi 50 kutoa ushauri kwa wazazi wakiume. Mambo manane yafuatayo yalishauriwa kwa akina baba wote wanaohusika moja kwa moja katika maisha ya watoto iwe wanafamilia, walimu, makocha, n.k.   Kama […]
July 17, 2018
Screen Shot 2014-04-04 at 4.04.52 PM

Why the fight against FGM is not working in Mara

I want to begin this article with words of the former chairman of Tanzania Development Trust Mr. Julian Marcus, ‘In the Name of Your Daughter is the most powerful, compelling, and honest documentary that I think I have ever seen. I came to it with both apprehension and anticipation.’   The synopsis of ‘In The Name Of Your Daughter’ which […]
July 16, 2018
MIT-LiteracyApp-2

Are Tanzanian children safe online?

Rapid advancement in information and communication technologies in terms of access and the use of Internet, Mobile phones, and social media has come with both positive and negative consequences for users. This article is based on our conversation with Dr. Hezron Onditi (PhD), a research from Dar es Salaam University College of Education whose work looks at online effects on […]
July 11, 2018
PIC+MTANDAO

Je, watoto wa Tanzania wako salama kwenye mitandao?

Maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano hasa inteneti, simu na mitandao ya kijamii yamekuwa na athari chanya na hasi kwa watumiaji wakiwemo watoto. Tumezungumza na mtaalamu wa malezi Dr. Hezron Onditi wa Kitivo cha Elimu na Saikolojia, Chuo Kikuu cha Dar es salaam na makala haya yanatokana na mazungumzo hayo.  Anasema tafiti mbalimbali kutoka nchi zilizoendelea zinaonesha kuwa vijana […]
July 6, 2018
MAKINI

Mwanadae mtoto kuwa mtu mzima makini

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo ni usemi ambao mara nyingi hutukumbusha wazazi umuhimu wa kulea watoto wetu katika maadili mema na yenye kuleta mafanikio. Ikumbukwe kwamba sisi wazazi ndiyo wenye jukumu la kwanza la kulea watoto huku walezi wengine kama walimu na jamii, wakichukua nafasi ya pili, n.k.   Misingi imara ya maisha ya binadamu huanza kujengwa pale tu mtoto anapozaliwa. […]