December 27, 2017
malezi26

Malezi kwa watoto wakati wa likizo.

Disemba ni mwezi ambao umejaa sikukuu nyingi na pia ni mwezi ambao watoto hufunga shule na kurejea nyumbani kwa ajili ya mapumziko ili kusherehekea sikukuu hizi pamoja na familia zao. Makala haya yanaangazia namna ambavyo mzazi anaweza kumlinda mtoto wake dhidi ya mambo mbalimbali yanayoweza kuathiri ustawi wa mtoto katika kipindi hiki.   Kwakuwa watoto hutumia muda mwingi shuleni, kipindi […]
December 18, 2017
malezi,viboko

Kumlea mtoto bila viboko inawezekana?

Malezi bora huhitaji msingi imara kama ilivyo kwa ujenzi wa nyumba. Leo tunaangazia swala la viboko katika malezi na kujielimisha kama inawezekana kulea bila viboko. Haishangazi kuwaona wazazi katika jamii yetu wakichapa fimbo, kwenzi, kumkaripia kwa sauti ya juu (kufoka) na hata kumtusi mtoto wao. Tofauti na dhana iliyojengeka kuwa namna hii mtoto anapata kujifunza utii, watalaamu wa makuzi wanatwambia […]
December 13, 2017
116 stories

Ben calls 116 to get help back to school

A boy named Ben called #116 from Sumbawanga Rural. He reported that, after he was done with primary school, he went back home to his family but his stepfather was not pleased to have him back. Ben’s stepfather would abuse him because he was visually impaired and could not help in most chores like the other children.   Ben had […]
December 13, 2017
O20C8425

C-Sema Digital Profile

‘SEMA’ is Kiswahili for ‘SPEAK’ ~ we use technology to provide children with platforms where their voices are heard.   We run the National Child Helpline – in collaboration with Government of Tanzania – a toll-free telephone service (116) that responds to children needs in Tanzania Mainland and Zanzibar. We voice their concerns to GOVERNMENT. With Internet Watch Foundation hotline […]
December 12, 2017
PIC+MAADLI

Namna wazazi tunavyoishi na athari zake katika maadili ya watoto

Mwenendo wa maisha ya wazazi hujumuisha maneno, matendo, tabia na desturi za wazazi wanazotumia katika kuendesha maisha yao ya kila siku katika familia zao na jamii inayowazunguka kwa ujumla. Mahusiano kati ya wazazi, mahusiano na majirani, ndugu, jamaa na marafiki – jinsi unavyowakarimu wageni, nk. Vyote hivi huathiri makuzi na tabia za watoto katika nyanja kuu mbili tofauti; athari chanya […]
November 29, 2017
116 STORIES..

Guest post by KIIYA JK – ICT4SI Network Lead for East Africa

Prior to this year’s ICT 4 Social Innovation Conference #ICT4SI17, our main funder SPIDER hosted a two day training for Network Leads across Africa, Asia and Latin America (#PENTHIO ) to enable Network leads to improve on how they manage networks that focus on Sustainable Development. The workshop took place in Abuja, Nigeria on 23rd-24th November 2017. This was closely […]