October 19, 2018
afrcan boy

#116Stories: Jimmy Returns Home.

Jimmy lived with his parents in Mwanza before he ran away. He was an unhappy child because his father would severely beat him, even for the smallest mistake. He was often very scared and decided to run away. Jimmy ended up in Geita and would wander the streets.   When Baba Jimmy realised his 10-year-old son had run away, he […]
September 21, 2018
rhoda 2

116Stories: Child Sexual Abuser Gets 30 Years in Prison

On 11th of January 2018 the Child Helpline received a phone call from a Social welfare Officer in Mwanga, Kilimanjaro, who reported a case of 15-year-old *Rhoda, a form one student at Kifaru Secondary School whose studies were interrupted after her parents separated. She was forced to move from Kilimanjaro to Zanzibar with her Father.   Rhoda was not happy […]
September 14, 2018
african child

John’s Molester Walks Free

When John was 8, a neighbour sexually abused him. The abuse had gone on for a long time causing bad anal and rectal injuries. His nightmare began when he had to split his time between his parents who were separated. Aware of the separation, John’s neighbour took advantage convincing the boy to go to his house instead of his father’s. […]
September 10, 2018
child marriage

#SimuliziZa116: Ndoa ya kulazimishwa yapatiwa ufumbuzi

Tarehe 6 Agosti 2018 tulipokeaa simu kutoka kwa msamaria mwema aishie wilayani Mpwapwa, alitusimulia kisa cha binti wa miaka 16 aitwaye Dora (sio jina halisi) binti huyu alikatishwa masomo yake ili aolewe.   Binti huyo aliishi na mama yake na kaka yake ambao ndio wamekua wakimsumbua kumlazimisha kuolewa kitendo ambacho ni kuinyume cha haki za watoto. Kitendo hiki kilimsukuma msamaria […]
September 5, 2018
law

#SimuliziZa116: Baba apandishwa kizimbani kwa ukatili wa kingono kwa mwanae.

Tarehe 7 Disemba 2017 tulipokea simu kutoka kwa mama aliyeongea kwa uchungu mkubwa. Alijitambulisha kama mama Mariam mkazi wa wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam. Alitueleza kuwa aliyekua mumewe ambaye ni baba wa Mariam alimtorosha mtoto wao kwenda mkoani Songea bila idhini yake.   Mama huyo alieleza kuwa alipigiwa simu na mama wa kambo wa Mariam akieleza kutoridhishwa na […]
August 30, 2018
lishe

#SimuliziZa116: chakula kipi chafaa mtoto wa mwaka mmoja?

Tarehe 7 Agosti 2018 tulipokea simu kutoka kwa Baba Jumanne (jina lake halisi limehifadhiwa kwa madhumuni ya faragha) mkazi wa Wilaya ya Kahama akiomba msaada wa aina ya chakula kwa ajili ya mtoto wake Jumanne mwenye umri wa mwaka mmoja.   Mtoa huduma wetu alimshauri kuwa ingawa mtoto wake bado anahitaji kuendelea kunyonya maziwa ya mama, maziwa ya mama pekee […]