October 22, 2018
ndoa

Ndoa za utotoni – changamoto kwa maendeleo ya binti.

Sheria ya mtoto ya mwaka 2009 inatoa ufafanuzi kuwa mtoto ni mtu aliye na umri chini ya miaka 18. Kimsingi, ndoa za utotoni ni muungano ambapo kati ya bibi au bwana harusi mmojawapo huwa chini ya umri wa miaka 18. Ndo hizi huchochewa na baadhi ya tamaduni, dini na mara nyingine huwa ndoa zisizo rasmi. Mara nyingi mhanga huwa ni […]
October 17, 2018
the effects

The effects of alcohol on your unborn baby

If you are pregnant or trying to get pregnant then alcohol is a no-go. Alcohol consumption by pregnant mothers can have numerous effects on the unborn baby. This article will focus on how alcohol can reach a baby in the womb, some effects of drinking alcohol on the foetus and what developmental milestones you should observe in your baby.   […]
October 15, 2018
Julius-Kambarage-Nyerere

Mwalimu Nyerere: namna ambavyo alithamini malezi ya watoto nchini.

Jumapili ya leo tunasherehekea maisha na mafanikio makubwa aliyotukarimu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Mwalimu ambaye kimsingi alianza harakati za ukombozi wa taifa letu toka akiwa mwanafunzi, mwalimu na hata kiongozi wa chama cha TANU, alikuwa na sifa nyingine lukuki nje ya siasa. Mwalimu alikuwa baba makini wa familia yake. Alikuwa baba makini wa taifa hili.     Alianzisha […]
October 9, 2018
makala

Towards day of the girl: Let’s keep fighting for the girl’s right to a good education

I open my eyes just as the first cock begins to crow. It is still dark outside. Yawning and stretching, I get up and hurry to clean the yard before the sun comes out. Then I go to milk the cows and when I’m done, I make tea for breakfast. By then my brother is ready for school in his […]
October 9, 2018
makala

Kuelekea siku ya mtoto wa kike dunia: Tuongeze juhudi kupinga ukeketaji.

Ukeketaji wa wanawake ni utaratibu ambapo viungo vya siri vya wanawake hujeruhiwa au hubadilishwa. Jambo hili linaweza kuathiri sana afya ya wanawake na watoto wa kike katika maisha yao ya baadae. Wasichana wengine hufariki kutokana na kupoteza damu au kwa ugonjwa wa kuambukizwa kutokana na utaratibu huu.   Wanawake waliokeketwa wanaweza kupata matatizo wakati wa uzazi. kwa kawaida ukeketwaji hufanywa […]
October 2, 2018
peer 2

Je inawezekana mwanao kuepuka vishawishi vya makundi-rika?

Waingereza wanaita ‘peer-pressure’, yaani makundi-rika kwa lugha ya ‘madafu’. Watoto katika umri tofauti wa ukuaji wao wanakutana na vishawishi ama chanya au hasi kutoka kwa marafiki zao. Makala haya yanahoji iwapo wazazi/walezi tunaweza kupunguza uwezekano wa mtoto ‘kuharibikiwa’ kutokana na msukumo wa makundi-rika. Namna gani unaweza kumsaidia mtoto wako kusema ndiyo kwa makundi rika chanya na hapana kwa makundi rika […]