July 17, 2018
Screen Shot 2014-04-04 at 4.04.52 PM

Why the fight against FGM is not working in Mara

I want to begin this article with words of the former chairman of Tanzania Development Trust Mr. Julian Marcus, ‘In the Name of Your Daughter is the most powerful, compelling, and honest documentary that I think I have ever seen. I came to it with both apprehension and anticipation.’   The synopsis of ‘In The Name Of Your Daughter’ which […]
July 16, 2018
MIT-LiteracyApp-2

Are Tanzanian children safe online?

Rapid advancement in information and communication technologies in terms of access and the use of Internet, Mobile phones, and social media has come with both positive and negative consequences for users. This article is based on our conversation with Dr. Hezron Onditi (PhD), a research from Dar es Salaam University College of Education whose work looks at online effects on […]
July 11, 2018
PIC+MTANDAO

Je, watoto wa Tanzania wako salama kwenye mitandao?

Maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano hasa inteneti, simu na mitandao ya kijamii yamekuwa na athari chanya na hasi kwa watumiaji wakiwemo watoto. Tumezungumza na mtaalamu wa malezi Dr. Hezron Onditi wa Kitivo cha Elimu na Saikolojia, Chuo Kikuu cha Dar es salaam na makala haya yanatokana na mazungumzo hayo.  Anasema tafiti mbalimbali kutoka nchi zilizoendelea zinaonesha kuwa vijana […]
July 6, 2018
MAKINI

Mwanadae mtoto kuwa mtu mzima makini

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo ni usemi ambao mara nyingi hutukumbusha wazazi umuhimu wa kulea watoto wetu katika maadili mema na yenye kuleta mafanikio. Ikumbukwe kwamba sisi wazazi ndiyo wenye jukumu la kwanza la kulea watoto huku walezi wengine kama walimu na jamii, wakichukua nafasi ya pili, n.k.   Misingi imara ya maisha ya binadamu huanza kujengwa pale tu mtoto anapozaliwa. […]
June 13, 2018
Siku ya mtoto

Maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika na umuhimu wake kwa watoto

Mwaka1991, wakuu wan chi wanachama wa OAU walianzisha Siku ya Mtoto wa Afrika (DAC) kama kumbukumbu ya uasi dhidi ya wanafunzi 16 Juni 1976 huko Soweto, Afrika Kusini. Wakati huo, wanafunzi watoto wadogo waliandamana, mosi kupinga aina ya elimu duni ya kibaguzi waliyopea na serikali ya kibeberu, pili waliitaka serikali ya mzungu iwape ruksa kufundishwa kwa lugha zao wenyewe.   […]
May 31, 2018
C-Sema HighRes Logo

TAMKO LA C-SEMA (SIMU YA HUDUMA KWA MTOTO) KUPINGA UKATILI WA WATOTO MTANDAONI 31.05.2018

C-Sema ni taasisi inayoendesha Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto kwa kupitia namba 116. Namba 116 ipo kwa ajili ya kupokea taarifa mbalimbali zinazohusu maslahi ya mtoto na kutoa ushauri wa namna ya kuzitatua. Pia tunapokea taarifa zinazohusu ukatili kwa watoto. Hivi majuzi kuna taarifa za kufanyiwa ukatili wa kingono watoto wakike wa darasa la saba shule ya St. […]