April 25, 2019

#SimuliziZa116: Mtoto Salma asifirishwa toka Ngara na kutelekezwa barabarani Kilosa

Yalikuwa majira ya jioni kunako saa 1:35 usiku tulipopokea simu kutoka Kilosa mkoani Morogoro, Msamaria mwema atoa taarifa katika Kituo cha Huduma ya simu kwa mtoto kupitia namba 116 na kutanabaisha kuwa alimkuta msichana mwenye umri wa miaka 14 aliyejitambulisha kwa jina la Salma (Jina si halisi) kando ya barabara pindi alipokua njiani akitokea Morogoro mjini kuelekea Kilosa.Kimsingi, huu ulikua […]
April 18, 2019

Sayansi inasema wazazi wenye watoto waliofanikiwa wana mambo haya 10 ya kufanana

Mzazi yeyote mwema hupenda watoto wake wasiingie kwenye matatizo, wafanye vizuri masomoni na kufanya kazi za maana utu uzimani. Kwakuwa hakuna muongozo maalumu wa kukuza watoto wenye mafanikio, saikolojia imeweka bayana sababu lukuki za kumtabiria mtoto mafanikio na si ajabu kuona kwamba nyingi ya sababu hizo hutokana na wazazi. Yafuatayo ni mambo ya kufanana kwa wazazi wenye watoto waliofanikiwa.   […]
April 11, 2019

Njia za kuimarisha uwezo wa mtoto wa kike hizi hapa.

Mara kadhaa tumezungumzia umuhimu wa wazazi na jamii kuwapa watoto nafasi sawa bila kujali jinsia. Leo tunawaletea mawazo tuliyopewa na waalimu wa shule mbili za sekondari wilayani Bunda na Kahama. Waalimu hawa wametushirikisha changamoto wanazopitia wanafunzi wao wa kike na wamependekeza njia za kuimarisha uwezo wa mtoto wa kike kujiamini na kujithamini.   Mwalimu Msemakweli alitueleza kuwa siku moja baada […]
March 8, 2019

Removing images of child sexual abuse online

The first priorities when child sexual abuse (CSA) images are found online, according to GSMA is taking down the images and finding the victim. This process is technically referred to as Notice and Takedown (NTD) mostly by the industry.   Late 2017, my country and in deed the organisation I work for (@SemaTanzania), joined hands with Tanzania government and other […]
March 7, 2019

Biblia: kwa nini Waebrania hawakuwachapa watoto viboko

Uhalisia ni kwamba fimbo ambayo mara nyingi imekua ikizungumziwa kwenye Biblia kama fimbo anazotakiwa kupewa mtoto ili kumjenga ni fimbo ya mchungaji kwa ajili ya kuongozea kondoo, au fimbo ashikayo kiongozi wa familia kumtofautisha na wanafamilia wengine. Mfano hai ni fimbo aliyoitumia Musa katika kugawanya bahari ya Shamu ama fimbo aliyonyooshewa malkia Esta na mfalme ambayo inaweza leta uhai ama […]
March 6, 2019

Kwa nini mwalimu aliyemchapa mtoto hadi kufa amehukumiwa kunyongwa

Marehemu alikuwa anasoma wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Kibeta iliyoko Manispaa ya Bukoba, jina lake ni Sperius Eradius amefariki akiwa na miaka 13, baada ya kipigwa na mwalimu wake akituhumiwa kuiba pochi ya mwalimu.   Siku ya tukio marehemu Sperius Eradius alikwenda kumpokea mizigo mwalimu wake aliyefika shuleni hapo kwa usafiri wa bodaboda, lakini baada ya mwalimu […]