December 11, 2018
Malezi10

Njia 7 za kumwepusha mtoto ‘kuharibikiwa’ msimu huu wa likizo

Inasikitisha kuona ingawa dhamira zetu ni nzuri kwa kuwapa watoto watakayo msimu huu, sisi wazazi ni sehemu ya tatizo pale watoto wanapoharibikiwa kadri wanavyokua. Tunakusogezea njia muhimu saba unazoweza kutumia kumwepusha mtoto kuharibikiwa. Mfundishe kuridhika. Mtoto akiridhika na alichonacho hawezi kutamani/kudai asivyonavyo. Mtoto wa umri wowote anaweza kujifunza kushukuru kwa zawadi aliopewa, kuridhika nayo na kuzoea kusema asante. Mtoto anayefahamu […]
December 3, 2018
bathroom-15612_1920

Umuhimu wa usafi na afya za watoto wetu

Usafi ni ujuzi wa kujifunza. Hii ni kwa sababu binadamu tunazaliwa pasi na uwezo wa kung’amua wala kuutambua uchafu. Mwangalie kichanga mdogo – anakojoa na hata kujikole na wala hana wasiwasi anafanya hivyo mahala gani. Mikononi mwa mama yake, ama hata mapajani mwa baba yake. Alimuradi dhana ya usafi hatuzaliwi nayo sisi wanaadamu.   Lakini ili mtoto awe na afya […]
July 24, 2018
World-Bank

Digital marketing, the World Bank’s way

On December 4th and 5th 2017 I was at the World Bank Group’s head office in Washington DC for a Youth Summit. Specifically the meeting was about the future of businesses, development work, jobs and various similar futuristic conversations. I was specifically keen to follow up on the World Bank’s head on his talk about the future of the bank’s […]
February 5, 2018

Siku ya Usalama Mtandaoni 2018 twaungana mkono na mashirika mbalimbali duniani kuadhimisha siku hii kwa usalama mtandaoni 2018

Soma taarifa kamili hapa: #SID2018 Press – Swahili
May 18, 2017
Mtandaoni

Athari za kuweka picha za watoto wako mtandaoni

‘Matukio ya matumizi mabaya ya picha za watu mtandaoni yanaongezeka siku hata siku: Picha ya askari iliyochukuliwa katika mitandao ya kijamii ilitumika kumlaghai mwanamke mmoja huko Uingereza akatoa fedha zake nyingi na kuibiwa. Bloga mmoja alikuta picha ya familia yake inatumiwa kwenye tangazo la biashara Jamhuri ya Czech. Mama Mwingereza wa mtoto wa miaka minne alikuta picha ya mtoto wake […]