October 3, 2019

KUWAZA: Partners’ visit to learn from beneficiaries, other partners and government in Zanzibar, 1st – 3rd September, 2019

KUWAZA’ – ‘THINK’ in English – stands for Kuzuia Udhalilishaji wa Watoto. Funded by the Oak Foundation, KUWAZA has the main goal to end violence against children in North Unguja, in Zanzibar.   The visits started off with Ms. Fatuma Ahmad, our Child Helpline Manager for Zanzibar, Ms. Blain Tektel, Oak Foundation’s Project Officer whose grantees portfolio includes KUWAZA, and […]
June 5, 2019

#SimuliziZa116: Alibakwa na kulawitiwa hadi kifo tena siku ya Idd

Kisa hiki kimetokea mwaka jana wakati wa sherehe za Idd mjini Unguja. Binti mwenye ulemavu wa akili aliachwa nyumbani, kote kumefungwa huku ndugu na wazazi wake wakienda sherehekea Idd majira ya jioni (usiku wa mapema). Bahati mbaya dirisha la chumba alimokua amelala lilivunjwa na walifanikiwa kumbaka na kumlawiti hata mauti.   Yaani mtoto mwenye ulemavu wa akili alibakwa na kama […]
June 3, 2019

#116Stories: A blind child sodomized by his relative and caretaker

In February this year, we recieved a call from Unguja North A. The caller reported that her 22-year old neighbour who is blind had been sodomized by all a close relative. She explained that on hearing screams for help, the neighbors had gathered around the perpetrator’s house. The man tried to run away but they managed to catch him and […]
May 24, 2019

#SimuliziZa116: Baba asaini makubaliano kutoa matunzo kwa watoto baada ya talaka

Huduma ya Simu kwa Mtoto Zanzibar tulipokea simu kutoka kwa mama wa watoto watatu wenye umri wa miaka mitano (5), mitatu (3) na wa mwisho mwenye umri wa miezi kumi (10) pekee. Mama huyo mkazi wa shehia ya Dunga, wilaya ya Kati Unguja na alipiga simu kutoa lalamiko kwamba mumewe wa zamani ametelekeza wajibu wa kuwalea watoto wao.   ‘Ni […]
May 23, 2019

#SimuliziZa116: Mume aripoti kubakwa mkewe, mke akataa kortini.

Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto kilipokea simu kutoka baba mmoja ambaye aliripoti kwamba mke wake amebakwa. Mhalifu ambaye alikuwa akiendesha gari alipaki na kuomba kujisaidia nyumbani kwao na baada ya kumaliza haja yake alipata kusikia mazungumzo ya mke na mume kuhusu kwenda sokoni na akapendekeza kumpa mke lifti kwani alikuwa anaelekea njia hiyohiyo.   Njiani alimuomba mama mwenye […]
March 31, 2019

Utajuaje kama mwanao anafanyiwa ukatili wa kingono?

Kuna swali ambalo watu wengi hupenda kuuliza kupitia Huduma ya Simu kwa Mtoto, namba 116. “Utamjuaje mtu anayeweza kumkatili mtoto kingono?” Kwa ufupi, hakuna alama ya mkatili. Mtu yeyote ana uwezo wa kumkatili mtoto hivyo haiwezakani kumtambua mtu anayemkatili mtoto kingono kwa kumuangalia tu. Vilevile, ukatili wa kingono unahitaji umakini sana kuutambua.   Tafiti zinaonyesha kuwa mara nyingi watu wanowakatili […]
escort | bayandanalhaberi.com