June 5, 2019

#SimuliziZa116: Alibakwa na kulawitiwa hadi kifo tena siku ya Idd

Kisa hiki kimetokea mwaka jana wakati wa sherehe za Idd mjini Unguja. Binti mwenye ulemavu wa akili aliachwa nyumbani, kote kumefungwa huku ndugu na wazazi wake wakienda sherehekea Idd majira ya jioni (usiku wa mapema). Bahati mbaya dirisha la chumba alimokua amelala lilivunjwa na walifanikiwa kumbaka na kumlawiti hata mauti.   Yaani mtoto mwenye ulemavu wa akili alibakwa na kama […]
June 3, 2019

#116Stories: A blind child sodomized by his relative and caretaker

In February this year, we recieved a call from Unguja North A. The caller reported that her 22-year old neighbour who is blind had been sodomized by all a close relative. She explained that on hearing screams for help, the neighbors had gathered around the perpetrator’s house. The man tried to run away but they managed to catch him and […]
June 2, 2019

Kwa nini tunapswa kuimarisha ulinzi wa watoto kuelekea siku kuu ya Iddi

Msimu wa sikukuu huambatana na furaha zisizo na kifani, furaha ambazo huwapunguzia wazazi uchovu unaotokana na mihangaiko yao katika kutafuta mkate wa kila siku. Furaha ambazo huiweka sawa miili na akili za watoto hususan mara baada ya kutoka masomoni na vilevile, furaha ambazo hujumuisha utolewaji na upokeaji wa zawadi kedekede miongoni mwa wazazi na watoto ndani ama nje ya familia. […]
May 30, 2019

Zijue adhabu zinazotolewazo sheria ya mtoto inapovunjwa

Makala haya yanaangazia baadhi ya adhabu chache zinazogusa maisha ya wazazi / walezi na hata watoto katika kutimiza majukumu yao ya kila siku. Ingawa adhabu zipo nyingi katika Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 ya Tanzania Bara, sisi tutakupa adhabu tatu kama ifuatavyo.   Mtoto anapopatikana na hatia. Sheria ya Mtoto inazuia mtoto kufungwa kifungo chochote kama vile vifungo vya […]
May 24, 2019

#SimuliziZa116: Baba asaini makubaliano kutoa matunzo kwa watoto baada ya talaka

Huduma ya Simu kwa Mtoto Zanzibar tulipokea simu kutoka kwa mama wa watoto watatu wenye umri wa miaka mitano (5), mitatu (3) na wa mwisho mwenye umri wa miezi kumi (10) pekee. Mama huyo mkazi wa shehia ya Dunga, wilaya ya Kati Unguja na alipiga simu kutoa lalamiko kwamba mumewe wa zamani ametelekeza wajibu wa kuwalea watoto wao.   ‘Ni […]
May 23, 2019

Kwanini mtoto aliye na umri wa chini ya miaka 10 hapaswi kupelekwa shule za bweni

Zipo sababu lukuki kwanini tunawapeleka watoto wetu shule za bweni ikiwa ni pamoja na kufiwa na wazazi wao, majukumu ya kusaka riziki kwa wazazi, elimu bora na zingine kadha wa kadha. Leo tutajadili athari za shule za bweni kwa watoto wenye umri mdogo. Umri wa chini ya miaka kumi na vipi elimu ya bweni inaweza kuwa ama chachu ya maendeleo […]