November 26, 2018

Fanya hivi uwe mfano wa kuigwa na mtoto wako

Watoto wanazaliwa pasi na uelewa wa kutosha juu ya mahusiano ya kijamii na hivyo kila uchao wanatafuta kwa hamu mtu wa kuiga. Huyu anaweza kuwa mzazi mmoja ama wazazi wote wawili. Wazazi ni waalimu wa kwanza wa watoto na ndiyo hasa mfano wa kuigwa. Bahati mbaya watoto wanaathirika zaidi na kile wazazi wao wanachofanya kuliko kile wazazi wao wanachosema. Wanajifunza […]
November 19, 2018

Je nini hasa maana ya malezi na ulinzi kwa mtoto?

Tafsiri ya kitaalamu inaelezea malezi kuwa ni mchakato wa maandalizi ya mtoto utakaomwezesha kukua, kukubalika na kushiriki katika shughuli za kijamii na kiutamaduni kwa kumlinda, kumjamiisha na kumpatia mahitaji na huduma za msingi.   Iwapo malezi ni mchakato wa maandalizi ya mtoto basi shurti iwepo mipango toka kwa wazazi ili kufanikisha hili. Zama za ‘kujipatia’ watoto na ‘kuwaacha’ wakue zinajongea […]
November 15, 2018

Dear Parents: Help the Help

For time immemorial, house chores have been a necessity so that we can live decent, comfortable and healthy lives. In many cultures, women take the lead in domestic duties and as societies advance, they delegate these duties to other people – usually other women. The maid. The house girl. The Help. As our lives get busier and we chase jobs, […]
November 6, 2018

Usalama wa mtoto wako wakati wa dharura

Kama mzazi, afya na usalama wa mtoto wako unavipa kipaumbele. Kila siku, unahakikisha kuwa mtoto wako anakula vizuri, anapumzika vya kutosha, anakunywa maji ya kutosha na ana muda wa kucheza. Natumai kuwa unampeleka kupima afya yake mara kwa mara.   Watoto wengi wanapenda kucheza na kugundua mambo mapya, na wakati mwingine hupenda kujaribu mambo ambayo huweza kuwadhuru kiafya. Mikwaruzo ya […]
November 6, 2018

Sibling wars: helping children get along after quarrels

It is not uncommon to see siblings quarrel sometimes to the point of getting into fights and often trying to get back at each other for ‘unsettled’ business. Most of us can recall our own fights with siblings as we were growing up. Although these sibling wars are common, they pose an annoying challenge to parents especially if we find […]
October 22, 2018

Ndoa za utotoni – changamoto kwa maendeleo ya binti.

Sheria ya mtoto ya mwaka 2009 inatoa ufafanuzi kuwa mtoto ni mtu aliye na umri chini ya miaka 18. Kimsingi, ndoa za utotoni ni muungano ambapo kati ya bibi au bwana harusi mmojawapo huwa chini ya umri wa miaka 18. Ndo hizi huchochewa na baadhi ya tamaduni, dini na mara nyingine huwa ndoa zisizo rasmi. Mara nyingi mhanga huwa ni […]
escort | bayandanalhaberi.com