November 29, 2017
116 STORIES..

Guest post by KIIYA JK – ICT4SI Network Lead for East Africa

Prior to this year’s ICT 4 Social Innovation Conference #ICT4SI17, our main funder SPIDER hosted a two day training for Network Leads across Africa, Asia and Latin America (#PENTHIO ) to enable Network leads to improve on how they manage networks that focus on Sustainable Development. The workshop took place in Abuja, Nigeria on 23rd-24th November 2017. This was closely […]
November 17, 2017
116 STORIES

RAPE on this week #116Stories…

On 17th July 2017 at 10:28, a devastated mother called the Helpline #116 from Chimala, Mbarali. She reported that her daughter, Mary, who was only 11, had been raped four times by a 66 year-old man. A Helpline counselor took her through all the steps she had to take to ensure her daughter received justice. Mary was taken to a […]
November 15, 2017
23619208_10212763275709747_1878627457_n

Namna bora ya kumlea mtoto wa pekee kwenye familia

Katika makala haya tunaangalia namna ya kumsadia mtoto aliyezaliwa pekee kwenye familia ili kuondokana na madhara yatokanayo na malezi ya upweke. Ingawa ni nadra kuona familia zenye mtoto mmoja katika jamii zetu, zipo familia chache zilizo na mtoto mmoja tu. Baadhi ya familia huamua kuwa na mtoto mmoja kwa sababu mbalimbali zikiwemo sababu za kiafya (matatizo ya uzazi), kiuchumi, na […]
November 8, 2017
IMG_3122-08-11-17-10-23

Namna ya kumsaidia mtoto kukabiliana na msiba

Watoto na watu wazima hukabiliana na hali ya kuondokewa na wapendwa wao kwa njia tofauti. Mapokeo ya mtoto hutegemea umri, kiasi gani anaelewa na kiasi gani watu wa karibu nae wanajali.   Watoto wadogo wanaweza wasitambue kuwa kifo ni milele. Wanaweza kutegemea kuwa marehemu atarudi hata kama utajitahidi kwa namna gani kuwaelewesha kuwa hatorudi. Watoto wanaweza kuuliza maswali hayohayo mara […]