Last updated 3 years ago
Unapochagua chupa jitahidi kujiridhisha kuwa hazina kemikali ya bisphenol inayotumiwa kama moja ya viambata vya kutengeneza chupa za plastiki. Zipo chupa nyingi zisizo na kemikali hiyo...
Kumbuka kabla ya kuanza vyakula vigumu mwanao anatakiwa awe ana uwezo wa kukaa, awe ameweza kukaza shingo, kugeuza kichwa chake na baadaye sasa anaweza kufanya kitendo cha kutafuna...
Zijue changamoto katika unyonyeshaji na utatuzi wake katika makala haya.
Kuna wakati mama anaweza kushindwa kunyonyesha mtoto kwa sababu zisizoweza kuzuilika, mathalani kifo cha mama, mama mwenye mtoto ambaye si wake au mama mwenye maradhi. Isome zaidi!
Fanya mambo haya matatu kuongeza ufanisi wakati wa kunyonyesha.
Maziwa huwa yanaongeza kadri hitaji la chakula (maziwa) linapoongezeka. Watalaamu wa afya hupendekeza maziwa ya mama pekee mpaka umri wa miezi 6. Endelea kumpa maziwa hata kama hayatoki nae puka kumch
Zipo faida za kwanini unyonyeshe mtoto wako kama vile kumsaidia kukuza werevu (IQ) na zingine nyingi. Fuatana nasi kuzijua!
Kumhumdumia mtoto mdogo (chini ya mwaka mmoja) linaweza kuwa jambo la kuchosha lakini kuna mengi mengi ya kutumainia. Chukua muda wako kutembea pamoja nasi katika kuangalia safari ya mwanao toka kuzal
Hivi ni kina mama, kina baba na walezi wangapi wanafahamu namna siku 1,000 za mwanzo za utoto zilivyo muhimu kwa maisha ya mtoto na namna gani tunaweza kufikisha ujumbe wa umuhimu wa siku za mwanzo ut
Makala haya yameandaliwa kutokana na mahojiano yetu na mtaalam wa afya ya watoto toka katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Malawi – Blantyre (Malawi University College of Medicine). Makinika nasi katika d
Msaada mkubwa zaidi ambao unaweza kumpa mama mjamzito ajifungue kwa usalama ni kumtia moyo kwa upendo. Epuka kuingiza vidole vyako ukeni kuchunguza mlango wa kizazi. Hakuna ulazima wa kufanya hivyo k
Uchungu wa uzazi hutokana na kubana na kuachia (tena kwa kurudiarudia) kwa misuli katika tumbo la uzazi. Soma kujua zaidi!
Je, unajua ni nini cha kuandaa unavyokaribia kujifungua? Soma dondoo hizo na mengi katika makala haya.
Kuna msemo usemao, ‘umri si chochote isipokuwa ni namba tu.’ Lakini linapokuja suala la ujauzito na kupata mtoto mwenye siha njema, umri unahusu. ISOME!
Je, ni vitamini gani zinatumika katika kipindi cha ujauzito? Fuatana nasi upate kujua ili ujipange kulea ujauzito salama!
Je, bado una wasiwasi kuwa yawezekana ukawa mjamzito? Kwa kweli njia pekee kujua kama wewe ni mjamzito ni kupima ujauzito. Hata hivyo, zipo dalili za awali za ujauzito. ZIJUE!
Vipimo vya ujauzito vinaweza kukusaidia kujua kama wewe ni mjamzito au la. Hapa kuna maswali yatakayokusaidia kujua jinsi vinavyofanya kazi na vitakusaidiaje? Tembea nasi katika makala haya!
Hapa kuna maswali yanayoulizwa mara kwa mara na wenzi wanaotafuta mtoto. Ni mara ngapi tunahitaji tujamiiane? Jibu ni mara nyingi. Ifanyike vipi? Isome hapa.
Je, unajua namna mzunguko wa hedhi unavyotokea? Je, wajua kipo kikokotoo cha kusaidia kujua urutubihswaji wa yai?
Hili ni swali la msingi. Ni upi uwezekano wa mama kupata ujauzito ndani ya mwezi? Uwiano wa mwanamke kupata ujauzito ni asilimia 15% mpaka 20% katika mwezi wowote ule husika.
Unaweza kuwa hujapata ujauzito bado lakini kuna mengi unaweza kufanya ili kuhakikisha afya njema kwako na mtoto atakayekuwa tumboni mwako. Ifanye hii kuwa orodha yako binafsi. Makinika!
Hello everyone, welcome to this week's #116Story about a young Jack, a young boy who didn't have anyone to care for him.
In early February we received a call from the uncle of 7 year old Rahel who suffers from a type of mental disability. Rahel’s uncle had called to ask for advice on his niece's condition.
Juni 16, 2020 – Dar es salaam. Shirika la C-Sema kwa kushirikiana na Apps&Girls, Jamii Forums pamoja na Elimika Wikiendi, Children’s Dignity Forum, JengaHub, Msichana Initiative, Save the Child
'She told us that he was not picking up her phone calls and when she called the manager of the place where he works, she was greeted with insults and abusive language.'
The helpline call centre is uniquely positioned to provide PSEA tapping into above described health architectural framework in Tanzania. The following is a list of actions included in the helpline’s
He explained that Diana was staying with him because her mother was not mentally fit to raise her and that is why he took her in.
It’s ridiculous for us to spend 7 days of the week at school with no rest nor family time,
They neglected her dreams, desires, and aspirations but focused on getting the bride price and decided to sell her off. Shame upon these parents.’ She ended.
Last updated 4 years ago
KUWAZA, THINK in English stands for Kuzuia Udhalilishaji wa Watoto. Funded by the Oak Foundation, KUWAZA has the main goal to end violence against children in North Unguja, in Zanzibar.