Mwongozo wa kujenga mahusiano bora baina ya watoto wa tumbo moja
Last updated 4 years ago
Ukweli ni kwamba watoto waliozaliwa tumbo moja, hasa wakafuatana, ni changamoto kubwa katika malezi kwani mara nyingi huwa na vijiungomvi visivyokwisha huku wanachogombea mara nyingi huwa hakionekani.