Usalama wa mtoto wako wakati wa dharura
Last updated 5 years ago
Kama mzazi, afya na usalama wa mtoto wako unavipa kipaumbele. Kila siku, unahakikisha kuwa mtoto wako anakula vizuri, anapumzika vya kutosha, anakunywa maji ya kutosha na ana muda wa kucheza. Natumai