Malezi katika zama za utandawazi na runinga/TV
Last updated 4 years ago
Ni ukweli usiopingika kuwa kuenea kwa teknolojia ya habari na mawasiliano kumeathiri jinsi tunavyolea watoto wetu. TV, redio, simu za mkononi, kompyuta, na intaneti; vyote vina mchango katika #malezi!