Zifahamu changamoto tano za malezi ya mtoto katika balehe (miaka 12 ? 14)
Last updated 6 years ago
Huu ni wakati ambao mabadiliko mengi katika mwenendo wa maisha ya mtoto hujitokeza; madiliko haya hutokana na homoni ambazo hupelekea mabadiliko ya kimwili, kibaiolojia, kiakili, kihisia, na mahusiano