top of page
#116Stories
#116Stories come to us through thousands of calls we receive each day about children lives, stories about their families, about their moms and dads and about their surrounding communities.


Jinsi tunavyoweza kuwasaidia watoto kujitayarisha kwa mitihani na masomo ya kila siku.
Je, tunapaswa kuwasaidia kwa kiwango gani? Au tuwaachie uhuru wa kujifunza wenyewe?Â
C-Sema Team
Mar 173 min read
6

Jinsi tunavyoweza kuelewa lugha ya upendo ya watoto wetu.
lugha tano za upendo ambazo ni mguso wa mwili, maneno ya kuhimiza, muda wa pamoja, zawadi, na vitendo vya huduma...
C-Sema Team
Mar 113 min read
3

Siku ya Wanawake duniani itukumbushe kuwafundisha watoto wetu thamani ya usawa na haki.
Kama wazazi, tunao wajibu mkubwa wa kuwalea watoto wetu kwa misingi ya usawa na haki.
C-Sema Team
Mar 83 min read
0


Young people are taking charge and we're here for it!
One of the most eye-opening moments? Realizing just how much bullying can affect a child’s life, mentally, emotionally, and academically.
C-Sema Team
Mar 43 min read
44


Tunawezaje kuzungumza na watoto wetu kuhusu suala la mahusiano?
Kuzungumza na watoto kuhusu mahusiano huwa ni jambo gumu kwa wazazi wengi wa Kitanzania. Utamaduni wetu unahimiza heshima na maadili ya...
C-Sema Team
Feb 243 min read
14


Uniting with Communities in Mara to protect girls and women from FGM and all forms of GBV.
Ending FGM is not just about changing laws—it’s about changing mindsets, dismantling harmful traditions, and empowering girls.
C-Sema Team
Feb 145 min read
15


Tunawezaje kuwalinda watoto wetu mtandaoni?
Ingawa majukwaa haya yanatoa nafasi ya kujifunza na kuburudika, pia yanawaweka karibu na hatari kama vile unyanyasaji wa kingono.....
C-Sema Team
Feb 103 min read
4

Kauli chanya zina nguvu katika kuimarisha ukuaji wa hisia na akili kwa watoto wetu.
Sayansi inasemaje kuhusu kauli chanya? Kauli chanya huchochea mabadiliko chanya katika akili za watoto.
C-Sema Team
Jan 213 min read
41

Tunawezaje kuimarisha mawasiliano na watoto wetu kwa namna inayojenga maadili ya familia?
Kama wazazi, tunaweza kufanikisha hili kwa kuwauliza watoto maswali rahisi na yenye maana yatakayowasaidia kutafakari kuhusu maisha yao.
C-Sema Team
Jan 143 min read
7
bottom of page