top of page
Search


C-Sema Team
Jun 1, 20193 min read
Kwa nini tunapswa kuimarisha ulinzi wa watoto kuelekea siku kuu ya Iddi?
Msimu wa sikukuu huambatana na furaha zisizo na kifani, furaha ambazo huwapunguzia wazazi uchovu unaotokana na mihangaiko yao katika...
3

Nadhira Jiddawi
May 23, 20192 min read
#SimuliziZa116: Aolewa na alombaka kuficha aibu ya familia (muhali)
Mnamo Februari 14, 2019, Huduma ya Simu kwa Mtoto Unguja tulipokea simu kutoka kwa binti akiomba msaada kulipa bili ya matibabu ya mtoto...
1


C-Sema Team
May 17, 20193 min read
Kwanini mtoto aliye na umri wa chini ya miaka 10 hapaswi kupelekwa shule za bweni
Zipo sababu lukuki kwanini tunawapeleka watoto wetu shule za bweni ikiwa ni pamoja na kufiwa na wazazi wao, majukumu ya kusaka riziki kwa...
12


C-Sema Team
May 16, 20192 min read
Zijue adhabu zinazotolewazo sheria ya mtoto inapovunjwa
Makala haya yanaangazia baadhi ya adhabu chache zinazogusa maisha ya wazazi / walezi na hata watoto katika kutimiza majukumu yao ya kila...
106


C-Sema Team
May 10, 20193 min read
Fahamu sababu ya watoto wachanga kucheua
Kucheua kwa mtoto ni kitendo cha mtoto kutoa mabaki ya chakula yanayopitia mdomoni muda mfupi tu baada ya kula ama kunyonya. Kwa wazazi...
123


C-Sema Team
May 2, 20193 min read
Hebu tuwalinde watoto dhidi ya unyanyasaji wa kingono mtandaoni
Mwaka 2018 zilipatikana takribani tovuti 105,000 zenye maudhui ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto. Tovuti hizi huwa na picha na video...
1


C-Sema Team
Apr 25, 20191 min read
Mtoto Josephine (jina halisi limehifadhiwa) atolewa katika ndoa na kurudi shuleni.
Mnamo tarehe 10 Januari mwaka 2019 jirani mmoja kutoka wilayani Hai kata ya Bondeni alipiga simu Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto...
1


C-Sema Team
Apr 9, 20193 min read
#SimuliziZa116: Mtoto Salma asifirishwa toka Ngara na kutelekezwa barabarani Kilosa
Yalikuwa majira ya jioni kunako saa 1:35 usiku tulipopokea simu kutoka Kilosa mkoani Morogoro, Msamaria mwema atoa taarifa katika Kituo...
0


C-Sema Team
Apr 5, 20193 min read
Sayansi inasema wazazi wenye watoto waliofanikiwa wana mambo haya 10 ya kufanana
Mzazi yeyote mwema hupenda watoto wake wasiingie kwenye matatizo, wafanye vizuri masomoni na kufanya kazi za maana utu uzimani. Kwakuwa...
4


C-Sema Team
Mar 31, 20193 min read
Biblia: kwa nini Waebrania hawakuwachapa watoto viboko
Uhalisia ni kwamba fimbo ambayo mara nyingi imekua ikizungumziwa kwenye Biblia kama fimbo anazotakiwa kupewa mtoto ili kumjenga ni fimbo...
59

C-Sema Team
Mar 21, 20192 min read
Kwa nini mwalimu aliyemchapa mtoto hadi kufa amehukumiwa kunyongwa
Marehemu alikuwa anasoma wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Kibeta iliyoko Manispaa ya Bukoba, jina lake ni Sperius Eradius...
5


C-Sema Team
Mar 13, 20193 min read
Sibling wars: helping children get along after quarrels
It is not uncommon to see siblings quarrel sometimes to the point of getting into fights and often trying to get back at each other for...
1


C-Sema Team
Mar 9, 20192 min read
Hizi hapa hatari tano anazoweza kukutana nazo mwanao mtandaoni.
Mara kadhaa kupitia wasaa huu tumezungumza juu ya matumizi ya mtandao na athari zake, chanya na hasi. Leo tunakutanabaishia aina tano kuu...
2


C-Sema Team
Mar 8, 20192 min read
Ujue waraka wa elimu kuhusu adhabu ya viboko shuleni Tanzania Bara
Kuvunjwa mikono, kuachwa na makovu mwilini pamoja na athari hasi za kiwango kikubwa zaidi kwa maana ya vifo ni matukio mbalimbali...
67


C-Sema Team
Feb 28, 20192 min read
Ndoa za utotoni: changamoto kwa maendeleo ya binti.
Sheria ya mtoto ya mwaka 2009 inatoa ufafanuzi kuwa mtoto ni mtu aliye na umri chini ya miaka 18. Kimsingi, ndoa za utotoni ni muungano...
13


C-Sema Team
Feb 25, 20192 min read
Usalama wa mtoto wako wakati wa dharura
Kama mzazi, afya na usalama wa mtoto wako unavipa kipaumbele. Kila siku, unahakikisha kuwa mtoto wako anakula vizuri, anapumzika vya...
0


C-Sema Team
Feb 21, 20191 min read
#SimuliziZa116: ulawiti katika kituo cha kulelea watoto
Jirani msamaria mwema alipiga simu namba 116 Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto baada ya kushuhudia tendo la ulawiti katika kituo cha...
1

C-Sema Team
Feb 18, 20192 min read
Hatupaswi kupata usingizi kwa watoto 10 waliochinjwa Njombe hapahapa Tanzania.
Matukio ya watoto wa umri kati ya miaka miwili hadi sita kuchinjwa na kukatwa koromeo, sehemu za siri na ulimi wilayani Njombe hapa-hapa...
1


C-Sema Team
Jan 27, 20191 min read
#116Stories ? Neema escapes the cut!
In December 2018, the National Child Helpline received a call from a man in Butiama district. His sister-in law had invited him to the...
0


C-Sema Team
Jan 24, 20192 min read
Kwa nini mtoto anahitaji malezi ndani ya familia
Miaka ya hivi karibuni kumetokea mfumuko wa vituo vingi vya kulelea watoto waishio kwenye mazingira magumu. Hii ni kutokana na mfumo...
1
bottom of page