top of page
#Malezi
Protecting children in the digital world, while at the same time allowing them to unlock opportunities to learn and express themselves is a major challenge of our time. That being said, the digital space can also be a platform for parents or parents to be to learn about parenting. Through our social media platforms we talk about everything parenting, we assure parents that there is no such thing as perfect parenting and offer them ways of which can improve their relationships with their children and better their parenting skills.
Read the latest on Parenting...


Jinsi tunavyoweza kuwasaidia watoto kujitayarisha kwa mitihani na masomo ya kila siku.
Je, tunapaswa kuwasaidia kwa kiwango gani? Au tuwaachie uhuru wa kujifunza wenyewe?Â
C-Sema Team
Mar 173 min read

Jinsi tunavyoweza kuelewa lugha ya upendo ya watoto wetu.
lugha tano za upendo ambazo ni mguso wa mwili, maneno ya kuhimiza, muda wa pamoja, zawadi, na vitendo vya huduma...
C-Sema Team
Mar 113 min read

Siku ya Wanawake duniani itukumbushe kuwafundisha watoto wetu thamani ya usawa na haki.
Kama wazazi, tunao wajibu mkubwa wa kuwalea watoto wetu kwa misingi ya usawa na haki.
C-Sema Team
Mar 83 min read


Tunawezaje kuzungumza na watoto wetu kuhusu suala la mahusiano?
Kuzungumza na watoto kuhusu mahusiano huwa ni jambo gumu kwa wazazi wengi wa Kitanzania. Utamaduni wetu unahimiza heshima na maadili ya...
C-Sema Team
Feb 243 min read


Tunawezaje kuwalinda watoto wetu mtandaoni?
Ingawa majukwaa haya yanatoa nafasi ya kujifunza na kuburudika, pia yanawaweka karibu na hatari kama vile unyanyasaji wa kingono.....
C-Sema Team
Feb 103 min read

Kauli chanya zina nguvu katika kuimarisha ukuaji wa hisia na akili kwa watoto wetu.
Sayansi inasemaje kuhusu kauli chanya? Kauli chanya huchochea mabadiliko chanya katika akili za watoto.
C-Sema Team
Jan 213 min read

Tunawezaje kuimarisha mawasiliano na watoto wetu kwa namna inayojenga maadili ya familia?
Kama wazazi, tunaweza kufanikisha hili kwa kuwauliza watoto maswali rahisi na yenye maana yatakayowasaidia kutafakari kuhusu maisha yao.
C-Sema Team
Jan 143 min read


Tujikumbushe mambo muhimu tunayohitaji kufanya kuwaandaa watoto kwa ajili ya mwaka mpya wa shule.
Mafanikio ya watoto shuleni si matokeo ya bahati, bali ni jitihada za watoto, walimu na maandalizi thabiti na msaada endelevu tunaowaonesha.
C-Sema Team
Jan 63 min read


Kwa nini ulinzi wa watoto ni muhimu zaidi katika msimu wa likizo?
Furaha ya msimu wa sikukuu inaweza kugeuka kuwa changamoto ikiwa hatua za uangalizi wa watoto hazitachukuliwa kwa umakini.
C-Sema Team
Dec 30, 20243 min read

Je, umejipangaje kusafiri na watoto wakati wa likizo za sikukuu?
Tarehe zile za kusafiri zimefika kwenda kusalimia babu na bibi na ndugu wengine katika maeneo mbali mbali
C-Sema Team
Dec 23, 20243 min read


Watoto wa miaka mitano na harakati zao za ukuaji.
Shughuli kama kuogelea, kupanda/kukwea vitu, na kukimbia kimbia huchochea ukuaji huu wa kifiziolojia na kuimarisha uwezo wa mwili.
C-Sema Team
Nov 25, 20243 min read

Kwa nini watoto wadogo wanapenda kurusha vitu?
Kurusha vitu ni kitendo kipya ambacho watoto hujifunza kufanya wakiwa na umri wa mwaka mmoja(1) hadi miaka minne(4) na kinachowafurisha.
C-Sema Team
Nov 19, 20243 min read

Ushirikiano wa waalimu na wazazi, chachu ya mafanikio kielimu kwa mtoto.
Malengo ya elimu kwa mtoto yanategemea sana ushirikiano baina ya waalimu na wazazi.
C-Sema Team
Oct 28, 20243 min read


What happens when your 1 year old stops breastfeeding?
Mwanaidi's one-year-old child had suddenly refused to breastfeed, leaving her worried and unsure of what to do next.
C-Sema Team
Oct 28, 20242 min read

Fikra za watoto juu ya ukuaji wao.
Katika safari ya malezi, wazazi wengi wanakumbana na changamoto ya hatua za ukuaji wa watoto wao.
C-Sema Team
Oct 14, 20244 min read


Namna ya Kuutambua na Kuukabili Uchovu wa Kulea.
Tumetoka kuadhimisha Siku ya Afya ya Akili Duniani, na sasa ni wakati mwafaka kuzungumzia jinsi wazazi wanaweza kujinusuru na uchovu...
C-Sema Team
Oct 1, 20244 min read


Je, unajua kwamba ratiba ya kulala kwa mtoto huimarisha umakini, uwezo wa kukumbuka, na uwezo wake wa kufanya maamuzi.
Kulala, kwa maana ya kupata usingizi wa kutosha ni nguzo muhimu ya maendeleo ya kihisia na kiakili ya mtoto, lakini mara nyingi umuhimu...
C-Sema Team
Sep 23, 20244 min read

A new perspective on why children lie.
Believe it or not, children can start lying as early as 2.5 years old!
faithmkony
Sep 17, 20242 min read

Mzazi Bora ni Nani?
Ukweli ni kwamba hakuna njia moja iliyo sahihi ya kulea watoto.
faithmkony
Sep 3, 20243 min read

Kizazi chetu bila matatizo ya afya ya akili inawezekana.
Kizazi kijacho bila matatizo ya afya ya akili kinawezekana. Lakini, inahitaji juhudi za pamoja.
faithmkony
Aug 30, 20244 min read


Malezi ni chachu ya utu.
Malezi ni mchakato wa kumtunza, kumuelekeza, kumuongoza na kumuelimisha mtoto.
faithmkony
Aug 9, 20243 min read


Lessons you can teach the children in your life.
Whether you are a parent, uncle, aunt, sister, brother, neighbour, friend, etc, you are in a position to positively impact a child’s life...
faithmkony
Nov 14, 20232 min read


Umuhimu na Wajibu wa Familia katika Jamii
Familia ni nguzo muhimu ya jamii. Ni katika mazingira ya familia ambapo tunapata malezi, upendo, na msaada unaohitajika katika safari...
C-Sema Team
Jul 14, 20232 min read


Who is a ''Pedophile''?
Who is a Pedophile? A pedophile is someone who is sexually attracted to prepubescent children (i.e. those who have not yet reached...
C-Sema Team
May 12, 20231 min read


Dads have a role to play during labor.
Dads, The most important thing you can do for your partner while she’s in labor is to be with her, emotionally she'll need to know that...
C-Sema Team
Apr 15, 20233 min read


Njia za kuimarisha uwezo wa mtoto wa kike hizi hapa.
Mara kadhaa tumezungumzia umuhimu wa wazazi na jamii kuwapa watoto nafasi sawa bila kujali jinsia. Leo tunawaletea mawazo tuliyopewa na...
C-Sema Team
Apr 13, 20233 min read


Asilimia 80 ya malezi ni mahusiano yaliyopo kati yako na mtoto wako
Laura Markham, mwanaharakati wa #Malezi anasema kwamba asilimia 80 ya malezi ni mahusiano yaliyopo kati yako na mtoto wako na asilimia 20...
C-Sema Team
Mar 8, 20231 min read


''Pedophile'' ni nani? na ana tabia zipi?
Mtu mzima anayependa/kuvutiwa kufanya mapenzi na watoto wadogo, kitaalamu anajulikana kama pedophile kwa lugha ya kiingereza. Hii ni hali...
Faith Mkony
Mar 3, 20233 min read


An end-year chat with parents and students of Sacred Heart School in Dar
This year we entered a partnership with Porticus Foundation to support their commissioned research to understand the prevalence, nature...
C-Sema Team
Jun 18, 20213 min read


Children with albinism have the same rights as other children.
A concerned father called us seeking advice for his newborn son Joel (not his real name). Baba Joel told us that his wife gave birth to...
C-Sema Team
Dec 4, 20202 min read


Afya ya kinywa kwa mtoto.
Kwa kawaida, mtoto huanza kuota meno kuanzia miezi 6-12 japo inaweza kuwa awali ya hapo. Jino la kwanza linapojitokeza, ni vyema mzazi...
C-Sema Team
Nov 28, 20201 min read


Oral hygiene for your child.
Normally, children start teething from around 6-12 months and as soon as the first tooth shows up, oral hygiene should follow. Wondering...
C-Sema Team
Nov 27, 20202 min read


Girls and boys have the same right to go to school.
The helpline received a call from a woman reporting her neighbor for living with a 12-year-old girl as his wife. Mama Huruma, (not her...
C-Sema Team
Nov 10, 20201 min read


Nini kifanyike kwa mtoto aliye na tabia ya kuandika katika vitu vya thamani.
Baadhi ya watoto wetu wana tabia ya kuandika juu ya vitu vya thamani, ukutani na kwingineko. Tabia hii inaleta ukakasi na magomvi...
C-Sema Team
Nov 9, 20202 min read


Meet Hawa a child who survived domestic child abuse in #116Stories
We bring you a story about Hawa, who was abused when she was working as a housekeeper. Hawa called 116 asking for help in between sobs....
C-Sema Team
Nov 7, 20201 min read


Je ninaweza kumfundisha mwanangu kulala hadi asinzie pekee yake?
Mkurugenzi wa kituo cha kushughulikia matatizo ya usingizi kwa watoto kilichopo hospitali ya Bostoni Daktari Richard Feber amefanya...
C-Sema Team
Oct 30, 20202 min read


Zijue njia rahisi za kuhudumia ngozi ya mwanao.
Watoto wachanga na wadogo huwa wanaweza kupata magonjwa ya ngozi kwa urahisi kwani ngozi yao ni laini, nyororo ambayo inaweza...
C-Sema Team
Oct 29, 20205 min read


Utaepukaje kifo cha ghafla cha mwanao?
Je, umewahi kusikia watoto wachanga wakifa usingizini ghafla tu? Kinga ni bora kuliko tiba. Kumbuka kuchukua tahadhari kila unapokuwa...
C-Sema Team
Oct 21, 20202 min read


Fanya hivi kumsaidia mwanao kupata usingizi mwanana.
Pale unapomuona mwanao amelala kamwe hutaacha kutafakari uzuri wake na kumshukuru Mungu kwa uumbaji wake! Hata hivyo watoto wengi huwa na...
C-Sema Team
Oct 16, 20202 min read


Kujamiiana kwa mipango ili kupata mtoto.
Hapa kuna maswali yanayoulizwa mara kwa mara na wenzi wanaotafuta mtoto. Ni mara ngapi tunahitaji tujamiiane / kukutana? Jibu ni mara...
C-Sema Team
Oct 10, 20202 min read


Zijue mbivu na mbichi kuhusu kumlisha mwano kwa kutumia chupa
Kuhusu glasi au chupa ya kulishia. Kuna chupa za aina mbili zinazotumika katika kulishia mtoto maziwa. Chupa za glasi au chupa za...
C-Sema Team
Oct 9, 20203 min read

Changamoto zinazojitokeza wakati wa kunyonyesha
Ukavu na kupasuka kwa chuchu. Unapaoanza kunyonyesha unaweza kukumbana na ukavu na hata kupasuka kwa chuchu. Ili kuepuka adha kama hizi...
C-Sema Team
Oct 9, 20204 min read


Je, ni chakula gani umlishe mwanao katika mwaka wake wa kwanza?
Anza vyakula vya kulikiza kuanzia mwezi wa 6. Kumbuka kabla ya kuanza vyakula vigumu mwanao anatakiwa awe ana uwezo wa kukaa, awe ameweza...
C-Sema Team
Oct 7, 20203 min read


Je, kuna mazingira ambayo yanaweza kumfanya mama asiweze kunyonyesha vyema?
Kuna wakati mama ananweza kushindwa kunyonyesha mtoto kwa sababu zisizoweza kuzuilika, mathalani kifo cha mama, mama mwenye mtoto ambaye...
C-Sema Team
Oct 2, 20202 min read


Vitu gani vya kuzingatia wakati wa unyonyeshaji?
Mosi ni kuchunguza. Chunguza dalili za kuwa na njaa kwa mwanao na umnyonyeshe mwanao pale anapokuwa na njaa. Huu ndio unaoitwa...
C-Sema Team
Sep 30, 20201 min read


Je, naweza kupata maziwa yakutosha?
Akina mama wengi huwa wana wasiwasi kama wana maziwa ya kutosha. Katika siku za kwanza baada ya kujifungua mama huwa anatoa maziwa ya...
C-Sema Team
Sep 24, 20203 min read


Kuhusu uwezekano wa kupata ujazito.
Hili ni swali la msingi. Ni upi uwezekano wa mama kupata ujauzito ndani ya mwezi? Uwiano wa mwanamke kupata ujauzito ni asilimia 15%...
C-Sema Team
Sep 19, 20202 min read


Faida za unyonyeshaji kwako na mwanao
Faida za unyonyeshaji kwa mwanao. Maziwa ya mama humpatia mtoto virutubisho vyote anavyohitaji katika miezi 6 ya mwanzo toka kuzaliwa....
C-Sema Team
Sep 19, 20202 min read
bottom of page